Jumanne, 16 Julai 2013

China yarusha chombo cha majaribio cha kuzunguka dunia



China imefanikiwa kurusha katika anga ya juu chombo cha kitakachozunguka dunia kwa majaribio. Chombo hicho, SJ-11-05, kimerushwa leo saa 11:27 jioni kwa saa za Beijing katika kituo cha kurushia satelaiti cha Jiuquan.
Chombo hicho kitatumika kufanya majaribio ya kisayansi na teknolojia ya anga za juu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni