
Leo ni siku ya Urafiki duniani
Leo ni siku ya urafiki duniani ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Ban Ki-moon amesema ni siku muhimu kwani urafiki baina ya nchi na nchi
waweze kuepusha migogoro duniani. Mwenzetu George Njogopa kutoka Dar es
salaam, Tanzania amefanya majadiliano na vijana watatu kuweza kufahamu
mtazamo wao kuhusu siku hii. Ungana naye katika ripoti hii.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni