Jumanne, 9 Julai 2013

Barua kutoka Dar

Kwa pamoja, Tanzania inatambulika kama kisiwa cha amani kwenye eneo la Afrika ya Mashariki na Kati, na inasifiwa kwa mchango wake mkubwa kwenye historia ya ukombozi wa mataifa kadhaa ya kusini mwa Afrika na pia ushawishi wake kwenye eneo la Maziwa Makuu.
Katika safu hii, tunakuletea barua kutoka kwa mwandishi wetu wa Dar es Salaam, Tanzania, Anaclet Rweyagura, zinazotoa uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa mtazamo wake.
 Ungana nami katika safuu hii

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni