Habari zilizonifikia asubuhi hii zinasema saida karoli amepata ajari mbaya sana na kupelekea kifo chake ( ajali ya gali) watu kadhaa inasemekana pia wamejeruhiwa.
Habari hii si rasimi na haijadhibitishwa.ila mwandishi wetu=nijuze.com anafuatilia habari hii na nitarejea pindi nijuze.com atakapodhibitisha habari hii. MUNGU AMETOA NA MUNGU AMETWAA jina lake like LIHIMIDIWE
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni