*Azuiwa kutembelea mbuga ya Mikumi
*Kisa kubana matumizi, makachero wahaha
Rais Barrack Obama wa Marekani
Gazeti hilo, likikariri nyaraka za mpango wa kikosi cha makachero wanaomlinda Rais, zilieleza kuwa safari za kitalii, wakati akiwa katika ziara ya Afrika itakayofanyika baadaye mwezi huu, zitahitaji makachero wanaomlinda kuchukua tahadhari kubwa zaidi.
“Safari za kitalii zitahitaji timu maalumu ya udunguaji kubeba bunduki zenye teknolojia ya hali ya juu inayoweza kuwatuliza duma, simba na wanyama wengine iwapo watakuwa tishio,” gazeti hilo limeripoti.
Rais Obama ambaye ameamua kukatiza ziara yake ya kitalii Tanzania kwa ajili ya kushughulikia kwanza matatizo ya wananchi wake. .
Magari ya kivita 56 ambayo yatatakiwa kumsindikiza Obama katika safari yake ya kitalii Tanzania
Askari walenga shabaha watakaokuwa wanamlinda na wanyama wakali
Meli ya kivita itakayokuwa ufukweni ikiwa na ndege za kivita na wafanyakazi wa dharura na wauguzi.

Magari 14 aina ya limo ambayo yatakuwa yanatumiwa na Obama katika ziara yake Tanzania



Ndege za kivita zitakazotumika kuhakikisha usalama wa angani

Ndege ya mizigo ambayo itasafirisha magari ya kifahari kwa ajili ya safari ya Obama
WASHINGTON –
Ikulu ya White House ya Marekani
imekatiza safari ya Rais Obama na mkewe Michelle ya kutembelea mbuga ya wanaya
ya mikumi iliyopo Tanzania kutokana na ukata unaoikabili serikali yake.
Imeelezwa katika gazeti la Washington Post jana.Gazeti hilo
ambalo lilinukuu
mipango ya siri ya safari hiyo imesema kuwa safari ya Obama na mkewe
ambayo
ilikuwa ifanyike baadaye mwezi huu, ingehitaji majasusi wa kumlinda rais
huyo kwa njia za kipekee zaidi kuhakikisha usalama wake na..... mkewe.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni