Serikali ya Tanzania imetangaza viwango vipya vya mishahara kwa kima cha chini kwa kuzingatia tofauti za kisekta.
Mishahara hiyo ambayo imepangwa kuanza kutolewa Julai Mosi inaanzia
Shilingi 40,000 hadi 400,000. Sudi Mnette amezungumza na Katibu Mkuu wa
Shirikisho la Wafanyakazi nchini Tanzania(TUCTA), Nicola Mgaya, akiwa
safarini mkoani Kilimanjaro na kwanza alitaka kujua wameipokeaje
nyongeza hiyo? Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za
masikioni hapo chini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni