Jumatano, 17 Julai 2013

BREAKING NEWS. KAJARA ALIPA DENI LA WEMA


Wema Sepetu
Taarifa tulizozipzta kutoka hivi punde zinasema, Mrembo na Mwigizaji Wema Sepetu amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kumjeruhi mtu katika tukio ambalo hata hivyo mtandao huu haukuweza kulidaka mara moja.

Mtoa taarifa amesema, Wema, amefikishwa mahakamani asubuhi hii, Katika Mahakama ya Mwanzo ya Kawe kujibu mashitaka. Mtoa taarifa anasema baada ya mda kidogo kajala ambaye ni mtu wa karibu sana na wema alifika kituoni hapo na kuweza kunzamini wema. Kwa habari zaidi na za kina baadaye, usikose kufuatilia safu hii.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni