
STAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel juzikati alifunguka na kuweka wazi juu ya mipangilio yake ya ndoa kuwa anatarajia kubeba ujauzito siku chache zijazo kwani ana kiu kubwa ya kuitwa mama.

“Nina mpango wa kubeba mimba na nizae siku chache zijazo kwani sina sababu tena ya kunifanya nisipate mtoto kwa wakati huu ambao niko ndani ya ndoa na naamini itaimarika zaidi nikiitwa mama huku pembeni akiwepo baba wa mtoto wangu,” alisema Aunt Ezekiel.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni