MWANDISHI CHARLES HILILA AFARIKI DUNIA
Marehemu Charles Hilila enzi za uhai wake.
Aliyekuwa Mwandishi wa Habari
wa Kituo cha Channel Ten mkoani Shinyanga, Bw. Charles Hilila, amefariki
dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya mkoa wa Shinyanga ambako
alikuwa amelazwa kwa ajili ya kupatiwa matibabu ya homa ya Malaria
iliyokuwa ikimsumbua kwa muda wa siku chache zilizopita.MUNGU AMETOA NA MUNGU AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE,,,,, AMEN
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni