BREKING NEWS, WEMA SEPETU ASHIKILIWA NA POLISI KITUO CHA KAWE
 |
Wema Sepetu |
Taarifa tulizozipzta kutoka
hivi punde zinasema, Mrembo na Mwigizaji Wema Sepetu amekamatwa na
polisi kwa tuhuma za kumjeruhi mtu katika tukio ambalo hata hivyo
mtandao huu haukuweza kulidaka mara moja.
Mtoa taarifa amesema, Wema, amefikishwa mahakamani asubuhi hii, Katika Mahakama ya Mwanzo ya Kawe kujibu mashitaka. Kwa habari zaidi za kina baadaye, usikose kufuatilia safu hii.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni