Waziri wa mambo ya ndani wa
Misri Mohamed Ibrahim amesema rais aliyeondolewa madarakani Mohamed
Morsi huenda akahamishwa hadi gereza la Torah nchini humo. Rais wa
zamani wa nchi hiyo Hosni Mubarak anasemekana kuzuiliwa katika Gereza
hilo la Torah.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni