Ripoti mpya ya Taasisi ya
Kimataifa ya Uwazi kuhusu ufisadi Transparency International inaonyesha
kuwa Uganda inashika nafasi ya pili katika kanda ya Afrika Mashariki kwa
rushwa.
Hata hivyo serikali ya nchi hiyo inapinga ikisema kigezo kilichotumiwa hakikutoa picha kamili.Siraj Kalyango na ripoti hiyo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni