Nchini Tanzania mamlaka inayosimamia misafara ya meli imetoa muongozo
mpya kwa ajili ya wasafiri wanaotumia vyombo vya baharini kufuatia
mfululizo wa ajali za meli zilizogharimu maisha ya watu.
Je, muongozo huu utapunguza ajali hizi ambazo zinaonekana kukosa
ufumbuzi kwa sasa? Iddi Ssessanga amezungumza na Mtendaji Mkuu wa
kampuni ya Azam Marine na Coastal Ferries, Hussein Mohammed Said, na
kwanza alianza kumuelezea madhumuni ya muongozo huo.(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni