Desmond Tutu na Graca Mandela mke wa rais Mandela
Watu wa makamo nchini Afrika Kusini wamebuni mbinu mpya ya
kutumia mafuta ya kwenye mipira ya kiume maarufu kama condoms kwa ajili
ya kujitibu maradhi ya baridi yabisi ambayo yamekuwa yakiwasumbua
wengi na wamekuwa wakipanga kwenye maungio ya viungo.
Wagonjwa wengi wanaokabiliwa na maradhi ya baridi yabisi
wameacha kutumia videngo ambavyo amekuwa wakipewa Hospital na badala
yameanza kutumia mafuta hayo kupanga sehemu za maungio ya mwili na
wamekuwa wakipata ahueni ya haraka.
Watu wengi wa makamo wamekuwa vinara wa kuchukua condoms ambazo zinasambazwa bure nchini Afrika Kusini kutokana na nchi hiyo kuwa na maambukizi makubwa lakini matumizi yake yamekuwa si ya kuzuia kusambaa kwa ugonjwa huo tena.
Utafiti uliofanyika huko Soweto umethibitsha watu wengi wa makamo wanatumia zaidi mafuta hayo katika kupambana na maumivu yanayochangiwa na baridi yabisi ambayo imekuwa ikiwasumbua mno watu wenye umri mkubwa.
Wazee wengi wamesema kutokana na kupatikana kwa urahisi kwa condoms kwao imekuwa ni kitu cha faraja kwa sababu wameweza kupata tiba mbadala ya kupata sehemu za maungio badala ya kuendelea kunywa dawa kila siku.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni