Jumatatu, 11 Novemba 2013

MASHIRIKA MAKUBWA YA KIJASUSI DUNIANI YAGUNDUA AGENDA YA SIRI INAYOENDELEA NCHINI TANZANIA.

Habari za kuaminika zinasema kuwa MASHIRIKA MAKUBWA YA KIJASUSI duniani yamegundua ajenda ya siri inayofanywa na kundi la watu wachache Tanzania linalojumuisha matajiri wa bongo wenye asili ya kibantu, asia, Kenya, Uganda na  Rwanda kuaanza kuimiliki Nchi hiyo(Tanzania) ifikapo mwaka 2020. Wataamua jinsi gani ya kuiendeaha nchi hiyo, pamoja na kuamua nani awe rais wa nchi, nani awe mbunge, nani Jaji Mkuu, nani mwanasheria mkkuu wa serikali na wengine kwa matakwa yao. Wataamua nani aishi na nani afutike nk. Ni habari za kutisha sana lakini ni za kweli.  

Habari zimeendelea kusema kuwa kundi hilo lilizaliwa wakati serikali ya awamu ya kwanza ya Mzee Nyerere kuwa madarakani. Toka kipindi hicho Kundi hilo limekua (grew) taratibu na kupata nguvu za kiuchumi bila serikali kujua. Likaendelea kujitanua karibu nchi nzima likiwatumia watumishi mbalimbali wa umma na watanzania wengine bila wao wenyewe kujijua. Limeendelea kujitanua (kuji- establish) wakati wa serikali ya awamu ya pili na tatu na hivi sasa linakaribia kuridhia adhma yake. Serikali ya sasa ina nafasi kubwa sana ya kuliangamiza kundi hilo kuliko serikali nyingine yeyote ijayo kwani itakuwa zimeshachelewa (too late).


Itakumbukwa kuna baadhi ya mtumishi(watumishi) wa serikali walipotea ghafla ghafla miaka ya hapo nyuma akiwemo mkemia mkuu wa serikali. Ni wakati huo tu kundi hilo lilionyesha makali yake, na hivi juzi juzi baadhi ya vibaraka wa kundi hilo walikahidi amri ya serikali lipowaamuru waache mgomo wa kutokuuza mafuta lakini wao waliendelea kugoma. Huu ni mwanzo tu habari hizo zilisema. Hivi sasa kundi hilo limeshapenyeza wanachama wake na watu wake kwenye bunge, mahakama, serikalini na sehemu nyeti wengine bila kujijua  kwa sasa kama watatumiwa kuwaangamiza watanzania wenzao na hawa ikiwa pamoja na ndugu na jamaa zao wa karibu.
Habari hii italetwa kwenu vizuri zaidi ikishafanyiwa uchunguzi wa kina na “when facts are available to back this conspiracy up”.

Imeelezwa kuwa serikali isipochukua hatua za haraka, hasa kuwaondoa mafisadi au wala rushwa na kuyaondoa kutoka mitaa na vitongoji vya nchi nzima ni tatizo ambalo litagharimu maisha ya watanzania wengi sana hapo baadaye watakapotaka kupigana na kundi hilo lenye watu wachache wenye nguvu za aina zote ikiwa pamoja na fedha, vyombo vyote vitatu vinavyoongoza nchi kwa maana ya bunge, serikali na mahakama (judicial system) vikiwa chini ya himaya yao.

Watu hawo watamiliki vyama vyote vikubwa vya siasa vikiwemo CCM, CHADEMA na NCCR MAGEUZI na kuweka wagombea wanaowataka wao. Wananchi watalazimika kumchagua mgombea kutoka chama kimoja cha siasa. Ujichagua CCM ni mtu wao, ukichagua CHADEMA ni mtu wao na ukichagua NCCR MAGEUZI ni mtu wao, ilifika kipindi hicho watanzania watalia na kusaga meno.
Mjulishe mtanzania mwenzako habari hii hasa wabunge, mahakimu na watumishi wa serikali.
Habari hii inaendelea, usikose kutembelea website na kusikiliza radio
.


SOUCE-WWW.DARTALK.COM

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni