HIVI NDIVYO MASAJI YA NYOKA NA KONOKONO INAVYO FANYIKA , TAZAMA NA VIDEO YAKE
UNAPENDA kufanyiwa
masaji na nyoka? Unaweza kukaza roho na usiogope kung’atwa? Kama ndio
basi nenda nchini Indonesia utaipata kwa raha zako.
masaji na nyoka? Unaweza kukaza roho na usiogope kung’atwa? Kama ndio
basi nenda nchini Indonesia utaipata kwa raha zako.
Masaji hiyo inapatikana Bali Heritage Reflexology and Spa huko Jakarta, Indonesia ambako wanaweza kukuondolea uchovu wako wa siku nzima kwa massage ya nguvu inayofanywa na nyoka mkubwa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni