Alhamisi, 5 Desemba 2013

WASTARA: MTAMUONA MPENZI WANGU SOON!

BAADA ya watu wengi kuwa na hamu ya kutaka kumjua ‘mrithi’ wa marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’ kwa mwigizaji Wastara Juma ‘Wastara’, mwenyewe ameibuka na kusema mashabiki wake watamuona hivi karibuni.
Wastara Juma ‘Wastara’.
Akizunguza, Wastara alisema hayuko tayari kuona watu wakimsingizia kutoka na wanaume tofauti akiwemo Bon Bin Salim ambaye ni muigizaji mwenzake hivyo atamuweka wazi ‘mtu’ wake.
“Nachukia sana kuona watu wanafuatilia…
BAADA ya watu wengi kuwa na hamu ya kutaka kumjua ‘mrithi’ wa marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’ kwa mwigizaji Wastara Juma ‘Wastara’, mwenyewe ameibuka na kusema mashabiki wake watamuona hivi karibuni.
Wastara Juma ‘Wastara’.
Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu hivi karibuni, Wastara alisema hayuko tayari kuona watu wakimsingizia kutoka na wanaume tofauti akiwemo Bon Bin Salim ambaye ni muigizaji mwenzake hivyo atamuweka wazi ‘mtu’ wake.
“Nachukia sana kuona watu wanafuatilia maisha yangu binafsi badala ya kazi, nitamuanika mpenzi wangu soon kuliko kueneza habari za uongo zinazohusu mapenzi, iwe ni Bond wanayemsema au mwingine,” alisema Wastara.

SOURCE: GLOBAL PUBLISHERS

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni