Watoto wabobea ulevini Ulaya

Mtoto Mlevi
Sasa tatizo la ulevi lawavamia watoto chini ya umri wa miaka 10 chini Uingereza huku wengine wakilazwa hospitalini.
Wataalam wanasema karibu watoto wapatao 380 wamefikishwa hispitalini na kulazwa kutokana na kuchanganyikiwa kulikosababishwa na ulevi.Kunywa pombe Uzeeni ni hatari kwa akili . mzee huanza kuwa na matatizo ya kusahau sahau na kuonekana mkosa hekima na busara.
Wafamu kuwa muziki ni tiba ya zinaa?
Wataalam wagundua kuwa muziki mwaafaka ni mtamu hata zaidi ya starehe ya ngono...Muziki unamaliza uasherati.Ajikimu kwa sanaa ya majeneza

Nchini Ghana, mazishi huegemea sana katika kusherehekea maisha ya mtu na majeneza huundwa kwa urembo wa hali ya juu na nyingine huwa miundo ya kiajabu ajabu.
Majeneza hutengezwa kwa miundo tofauti, inaweza kutengezwa kwa mbao ikiwa na mikono ya chuma na vyovyote vile. Lakini Nchini Ghana, mazishi huegemea sana katika kusherehekea maisha ya mtu na majeneza huundwa kwa urembo wa hali ya juu na nyingine huwa miundo ya kiajabu ajabu.
Muundaji mmoja mkuu wa majeneza alizuru Uingereza hivi karibuni na kuonyesha sanaa yake ya kutengeza majeneza na hata kutumai kuwa biashara yake inataweza kunawiri kwa kupata jicho la waingereza.Mnada wa Komputa ya Apple

Komputa ya kwanza kutengezwa na Apple mwaka 1976, imenunuliwa kwa zaidi ya dola laki sita .
Itikadi kali za kidini zinatokana na nini?

Je baadhi ya watu wanatumia dini kama kisingizio cha kutenda uhalifu? Nani anawachochea vijana kuzusha vurugu za kidini?
Kuanzia 27/5 BBC idhaa ya Kiswahili imeandaa makala maalum yanayoangazia kuibuka kwa itikadi kali za kidini katika kanda ya Afrika Mashariki. Itikadi hizi zinatokana na nini, kwa nini vijana wanatumia na makundi ya wapiganaji kupigana kwa misingi inayopotosha kimaadili na kijamii na hata kujiunga na makundi ya wapiganaji kama Al-Shabaab?
Mwandishi wa Zanzibar9BBC) Baruan Muhuza amezuru Zanzibar kuangalia ni nini hasa chanzo cha kuibuka kwa misamamo mikali au itikadi kali za kidini. Je ni ukosefu wa ajira? Au Serikali zilizokosa nguvu za uongozi? Je baadhi ya watu wanatumia dini kama kisingizio cha kutenda uhalifu? Je nani anawachochea vijana kuzusha vurugha zilizo na uhusiano wa kidini. Sikiliza Amka na BBC kupata vipindi vingine.Afrika wiki hii kwa picha





Hakuna maoni:
Chapisha Maoni