Dunia inaadhimisha wiki ya umuhimu wa kuwanyonyesha watoto.
Dunia inaadhimisha wiki ya
umuhimu wa kuwanyonyesha watoto. Mwaka huu mada kuu ni kutoa mazingira
mazuri katika kuwasaidia wanawake kufanikisha jukumu hilo muhimu.
Nchini Kenya shirika moja limejitolea kuwasaidia
akina mama waathiriwa wa HIV kuwanyonyesha watoto wao kwani wakati
serikali inaposema akina mama wanyonyeshe miezi sita mfululilzo na wao
wako katikan fungu hilo.
Je wanasaidika vipi? Zainab Deen ametuandalia taarifa hii.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni