Jumatano, 21 Agosti 2013

Maafisa wa polisi wa kike nchini Kenya wapigwa marufuku kujipamba

Police wa Kenya katika moja wa vikao
Police wa Kenya katika moja wa vikao

Na Ali Bilali
 
Wakuu wa idara ya polisi nchini Kenya wamewapiga marufuku maafisa wa polisi kujipamba kwa bangili, vipuli, rangi mdomoni na kuchanganya nguo za kiraia na sare rasmi. Ni hali ambayo imezua hisia mbali mbali miongoni mwa wakenya, kama anavyoarifu mwanahabari wetu Paulo Silva kutoka jijini Nairobi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni