Zaidi ya wanyarwanda elfu sita wamepokelewa nchini Rwanda
wakitokea nchini Tanzania. Raia hao waliokuwa wanaishi nchini Tanzania
kinyume cha sheria, na sasa serikali ya Rwanda imewapa hifadhi ya muda
katika kambi iliyopo kilometa 6 kutoka mpaka wa Rwanda na Tanzania.
Muandishi wetu wa huko Kigali nchini Rwanda Bryson Bichwa amezungumza
na baadhi ya raia wa Tanzania waishio nchini Rwanda, kutaka kujua maoni
yao juu ya hatua ya serikali ya Tanzania na maisha yao kwa ujumla
nchini Rwanda.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni