Wakati matukio ya hapa na pale yakitishia usalama wa nchi kwa ujumla, je waandishi wa habari wa Tanzania wana jukumu gani katika kuielekeza nchi hiyo kwenye muelekeo salama zaidi kisiasa na kijamii?
Mohammed Khelef anaongoza Maoni Mbele ya Meza ya Duara kujadili mada ya waandishi wa habari na maadili nchini Tanzania. Mjadala unahudhuriwa na Yahya Mohamme, mwandishi wa habari wa siku nyingi nchini Tanzania, Paul Malimbo wa wa Baraza la Habari la Tanzania na Steven Ouma Bwire, Katibu Mkuu wa Umoja wa Waandishi wa Habari wa Uganda.
Kusikiliza kipindi hiki, tafadhali bonyezahapo chini.
Makala: Mohammed Khelef
Mhariro: Josephat Charo
Mhariro: Josephat Charo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni