
Asante kwa kuungana nami sasa tazama video yenyewe
Pamoja na vyombo vya usalama Kenya kufanikiwa kuwadhibiti magaidi walioteka Shopping Mall ya Westgate Nairobi Kenya September 21 2013, bado ishu haijaondoka moja kwa moja kwenye headlines ambapo nimepata video mpya ya CNN ikionyesha baadhi ya vitu vilivyokua vikifanywa na Magaidi ndani ya Westgate baada ya kufanikiwa kuteka ndani.
Miongoni mwa yanayoonekana ni magaidi wanavyosali baada ya mapumziko waliyochukua baada ya zoezi la kurushiana risasi na vyombo vya ulinzi vya Kenya, watu wakiuwawa kwa risasi baada ya magaidi kuingia Westgate na waliotekwa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni