Takriban mwezi mmoja sasa tangu shambulizi la kigaidi litokee katika jengo la maduka la Westgate jijini Nairobi, Kenya huku Wakenya na ulimwengu kwa ujumla ukiwa bado unasubiri majibu kuhusiana na maswali mengi ambayo bado yanawazonga, Tazama video yenyewe hapa chini, asante kwa kuungana nami
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni