TUKIO KATIKA PICHA: MTAZAME TAJIRI HUYU ANAVYO CHEZA NA SIMBA PAMOJA NA WANYAMA WAKALI ALIOWAFUGA BILA WOGA WOWOTE.
Huwezi kuamini lakini hivi ndivyo ilivyokuwa hapa wakati jamaa huyu alipokuwa akicheza na Simba wake pamoja na mapaka makubwa ......shuhudia hapa.

Huyu simba wala hana noma na huyu jamaa hapa wanapiga story... "Dah nanjaa kweli hapa" utazani simba huyo alikuwa anamwambia jamaa tajiri

Hii hatari " Shikamoo Boss" Ni kama simba huyu alikuwa akimwambia bosi wake

Hawa ni mapaka wakubwa sana wakiwa nyumbani kwa tajiri huyo hapa wanamla papa


Hebu Mcheki Cheater huyu akiwa anakula Good time na Bos wake wakiwa wanakula kipupwe huko baharini,,, Yataka moyo daha

Hilo sio toi ni Simba huyo

Hii michezoo hatareee dah wewe hapana chezea


Muda wa Kuoga sasa dah

Hug time


Picha na Daily mail ,,, Story na This Day magazine
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni