
Jamhuri
ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea imeandaa gwaride la heshima
kuadhimisha miaka 60 ya makubaliano ya kusitisha vita vya Korea nchini
humo. Habari zinasema kiongozi wa nchi hiyo Kim Jong Un alikagua gwaride
la wanajeshi na kushuhudia maonesho ya msafara wa magari ya kijeshi
yenye silaha za vita katika uwanja wa Kim Il Sung nchini humo. Mkuu wa
baraza la mashauriano ya kisiasa wa jeshi la Korea Choe Ryong Hae
amesema amani ni suala linalopatiwa kipaumbele zaidi na nchi hiyo na
jukumu la jeshi la taifa ni kulinda nchi hiyo kutokana na uvamizi wa
nje. Vita vya Korea vilisitishwa Julai 27 mwaka 1953 baada ya
makubaliano ya kusitisha vita kusainiwa katika
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni